Main Maisha Yangu na Baada ya Miaka Hamsini Edition: 3

Maisha Yangu na Baada ya Miaka Hamsini Edition: 3

5.0 / 5.0
0 comments
Kwa zaidi ya miaka kumi na tano vitabu vya mwandishi maarufu kushinda wote katika jamii za Waswahili kote Afrika ya Mashariki na Kati, Marehemu Sheikh Shaaban Robert, havikupatikana Tanzania. Sababu ya kukosekana kwa vitabu hivyo ni kuwa kampuni ya kigeni iliyovichapisha iliamua kuacha kuvichapisha kwa sababu haikulipwa kwa fedha za kigeni jambo, lililosabishwa na hali mbaya ya uchumi. Athari za kupotea kwa vitabu vya Sheikh Shaaban Robert katika miaka hiyo ni kwamba Watanzania wengi hasa wale wenye umri chini ya miaka thelathini, hawamjui mwandishi huyu maarufu na hawakulelewa katika mazingira ya utajiri wa maandishi yake ambayo bila shaka yoyote ni mfano pekee wa utajiri wa urithi wa utamaduni wetu. Kwa kuvichapisha vitabu vya Marehemeu Sheikh Shaaban Robert tunawakaribisha tena Watanzania, hasa vijana kuvisoma, kuburudishwa na kufunzwa na yale aliyoyaandika kwa sanaa na kipaji adimu.
Request Code : ZLIB.IO18007243
Categories:
Year:
2022
Publisher:
Mkuki na Nyota Publishers City: Dar es Salaam, Tanzania
Language:
Swahili
ISBN 10:
9976973160
ISBN 13:
9789976973167
ISBN:
9976973160, 9789976973167

Comments of this book

There are no comments yet.

You may be interested in